Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imefanyiwa featuring....

Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana "si mimi ni haka kachupa" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

.
 
IMG_1436.JPG


Vitumbua vya kuku[emoji39][emoji39][emoji39]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vinakuaje.
Nilishaazimia kuanzia mwaka huu naanza kujipikia, nitakula nje pale tu muda unapokosekana

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni nyama ya kuku, unachemsha mbali
Unaweka carrot,na hoho na mayai una blend alafu unachoma kama vitumbua vya kawaida.

Subiri nipekue jf chef kwenye recipes nlowahi kuweka nkiiona ntakutag usijali.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom