Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke wa Dar [emoji23]
Yamekukuta yapi[emoji3][emoji3]we mganga?Nilicheka sikujua kama yatanikuta [emoji30][emoji30][emoji30][emoji24][emoji24][emoji24]
Jr[emoji769]
Ndio kula kwa afyaa..punguza hizo wanga na mafuta kujiepusha na magonjwa
Una njaa?Ya kumcheka mdau aliyesema huu uzi haufai kama ukiwa na njaa[emoji30][emoji30][emoji30]
Jr[emoji769]
Karibu chai mkuuNikaribishe mkuu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
[emoji3]njoo kwangu unyweKama yote... Na miayo ya kufa ntu... [emoji30][emoji30][emoji30]
Jr[emoji769]
Hum ndani watu wana kazi, ukiongea kitu tu lazima wajipe kazi ya kuanza ku-calculate umriSambusa ulinunua sh.30. Kumbe Farkhina Mkubwa kiasi. Nilikuwa najua wewe kama miaka 22 ikizidi 25!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe na hofu.Hum ndani watu wana kazi, ukiongea kitu tu lazima wajipe kazi ya kuanza ku-calculate umri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tayari najiandaa kupanda boti, nampelekea Mama Mkwe zawadi ya samaki sato na dagaa wa Ziwa Nyasa!Unaona nafaidi eeeeeee[emoji16][emoji16][emoji16]
Siku zote chagua fungu lililo bora
Sent using Jamii Forums mobile app