THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Bilion 9,bilion 9 mara ya kwanza,ya pili,ya tatu Thomass Sankara kashindaHahahahaha I like this competition [emoji23][emoji23][emoji23].
Cc THOMASS SANKARA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaaaaaaa.....Wengi watakao-like hii picha ya supu ya kuku ni wale watu wa 'maji'
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23]Wapi hiyo! Oysterbay au?!
"ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ"
Nimekumbuka Tanga ghafla. Kwenye Ramadhan walikua wakipika hivyo lazima nifuturu nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwe kila siki una menu mpya sa sijui hadi hiv vitu adimu kama unakumbuka kumfundisha mchumba angu
Mkwe kila siki una menu mpya sa sijui hadi hiv vitu adimu kama unakumbuka kumfundisha mchumba angu
farkhina
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwe shkamoo. Waonaje hali yako.Wee usijali as long as unaweka hizo billioni 9 kwenye kibubu,don’t worry mkwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwe shkamoo. Waonaje hali yako.
Mimi hapa nimejifunza sana. Nakuhakikishia mwali hatopata tabu akichoka, naingia mwenyewe jikoni!
Naomba acha kusikiliza propaganda zozote. Unguja natia maguu kwa mahari yeyote ile!
Ahlan Wasahlan
Wakatabahu Mkweo Platozoom
Sent using Jamii Forums mobile app