Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Nimekumbuka Tanga ghafla. Kwenye Ramadhan walikua wakipika hivyo lazima nifuturu nao
b33a370713be4c4aacc749c4b0ff99ef.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee usijali as long as unaweka hizo billioni 9 kwenye kibubu,don’t worry mkwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwe shkamoo. Waonaje hali yako.
Mimi hapa nimejifunza sana. Nakuhakikishia mwali hatopata tabu akichoka, naingia mwenyewe jikoni!

Naomba acha kusikiliza propaganda zozote. Unguja natia maguu kwa mahari yeyote ile!

Ahlan Wasahlan

Wakatabahu Mkweo Platozoom

Marhaba mkwe.

Kwa kweli umeni impress mkwe kwa kujifunza kupika.

Karibu sana Unguja mkwe.

THOMASS SANKARA usisome hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom