Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Dingilai unapasua kokoto nini? [emoji23][emoji23][emoji23]Mchana mwema
Okay
[emoji16]kwanin kamanda chaliiDingilai unapasua kokoto nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo menu nzito mzee baba
Sasa hivi napiga kazi nzito nisipo kula cha kutosha naweza dondoka kabisa[emoji2][emoji2]Hiyo menu nzito mzee baba
[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa hivi napiga kazi nzito nisipo kula cha kutosha naweza dondoka kabisa[emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Gadeeem!!.. menyu ya hela yote
Nanaa
Karibia
Hivi Kiwi zinapatikana wapi Dar hii?