Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Mpishi wetu hujambo?

Kuuliza si ujinga, kwasababu nataka kujifunza.

Kwanza nakupa hongera nyingi kwa hiyo CHAI iliyopikika na ikaiva, si haba, maana mpaka MALAI yanaonekana.

Hiyo CHAI hukuchanganya na MILO?

Hapana hii chai sio ya kuchanganya Na milo.

Nimeweka maji nusu kikombe,nimetwanga tangawizi Na hiliki,nimeweka na zatari, karafuu 3 mpaka 5 na vijiti vya mdalasini Na tea bag.

Nimechemshaa hadi viungo vimeasha kutoa harufu Na rangi nimeweka maziwa hadi kuwiva.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana kwa DARSA.

Dada ubarikiwe sana
 
f5306f341fe35ceb617dae9e0dc72bd4.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaaa..
Hivi unajua Mkwe ananielewa sana!
Hapa nasubiri go ahead nitimbe Unguja

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana umechelewa sana,mie toka last year nshakwenda unguja na kishika uchumba cha bilion 3 nshatoa.

Ila usihofu kuna binti ambaye ni mfanyakazi wao wa ndani nadhani watakufikiria labda wakupe huyo ili usirudi bara mikono mitupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom