Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
missyrose siku hizi unatubania mapishi yako sana. Tunayamiss [emoji5]
Kinyumbani zaidi
Safi sana.......For those who eats for living and not for dying!View attachment 1011693
Siri ya MLO huu.
Daah! hawa wadogo zangu huwa wananipikia maandaz yanasura mbaya sana rangi hazieleweki vululu vululu tu.. ila haya nimeyapenda sana hamna uzi wake wa darasa la maandazi ili ni print kabisa niwapelekee
VIAZI VITAMU vya kuchemsha.
Siri ya MLO huu.
CHUMVI yake inakuwa kwa mbali sana.
MPISHI wetu najua hapo unatoa tabasamu kubwa sana.
Maana nimepatia hapo kwenye CHUMVI ya mbali sana
MLO safi kabisa
Kumbe!
PILAU imepikika.
Ukijiachia ndugu yangu.
PILAU imepikika.
Naona NJEGERE kidogo, na KAROTI.
Samahani MPISHI wetu.
Katika kubadilisha MAPISHI yako, hivi huwa unapika PILAU ya kuchanganya na TUI la NAZI?
SAMAKI wa MAJI BARIDI kwa SEMBE.