HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Dada kubana matumizi ndio inavyotakiwa.
Safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada kubana matumizi ndio inavyotakiwa.
Zinanoga tena sana.
Siku ambayo ananielekeza, viungo vyote alikuwa ameshaviandaa.
Na MBATATA za kuchemsha alikuwa ameshaziponda tayari.
Na nyama ya kusaga aliilainisha kwa Viungo na akaikamulia na LIMAO/NDIMU na kisha akaichemsha ikaiva laini sana.
Akanipa kazi ya kutengeneza VIDONGE vya MBATATA kisha nitengeneze kijishimo cha kuweka Nyama ya kusaga, na kisha nakiziba kishimo na kutengeneza KIDONGE cha MBATATA kukirudishia kwa uzuri.
Na kisha pembeni kuna MAYAI yaliyovunjwa na kuvurugwa tayari, kwenye zile BAKULI pana za UDONGO mfano wa SAHANI, ambayo ndio niliokuwa nazamisha na kupakaza KIDONGE cha MBATATA ndani ya MAYAI, kisha MAMA anachukua KIDONGE kimoja baada ya kingine na kuvizamisha kwenye kikaango cha Mafuta ya MOTO yanayochemka.
MAYAI yakiisha tunavunja MAYAI mengine, mpaka KATLESI zote zilipokwisha kupikika.
Yaani mpaka raha.
MAMA na MTOTO wa KIUME jikoni, nikipewa ufundi
Swadaktaa, wala hujakosea.Hamkoweka unga au bread crumbs kabla ya kuweka mayai?
Vipi hali yake mama hajambo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Iliyokolea HILKI
[emoji4][emoji6][emoji6][emoji6] View attachment 1010143
Yaani ukiamuaga kujitoa ufahamu....![emoji15][emoji15]kupika? [emoji144][emoji144][emoji125]
Jr[emoji769]
Kaka Nyani Ngabu Next time kama inawezekana Ukale kwa Sarah Raqey utupe feedback![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Wow! Looks nice!
Lazima nitapacheki.
Hopefully customer service yao inafanana na hizo picha za msosi wao...
Mama Mkwe umenitenga.
Mama Mkwe umenitenga.
Niliomba kufunzwa kupika macaroni/tambi na nyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Tambi za kawaida bila sukari.