Siliwez aisee maviungo mengi mno
Be Humble is free of charge [emoji873]
Mshana huyu siyo yule mdudu ambae ukimkamulia limao uharamu unatoka?? 😂😂😂
Mungu anasaidia kwa mbaali naanza kuona mwanga[emoji23][emoji23][emoji23]hata sijui picha ya fb hiyo... Vp unaendeleaje lakini
Jr[emoji769]
Napenda sana CHAI iliyochemshiwa MCHAI CHAI.
Supu ya SAMAKI.
CHAPATI kwa HARAGE.
😀😀poleeSupu ya SAMAKI.
SAMAKI ndio ugonjwa wangu.
UCHU na UROHO umeshanikamata.
Mnavyofanya sio vizuri hata kidogo.
Maana tunatamanishana sana
Umejitahidi.Maandalizi ya lunch karibuni nyote
Mkwe farkhina View attachment 1018874View attachment 1018875
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hupakui tule mzee babaMaandalizi ya lunch karibuni nyote
Mkwe farkhina View attachment 1018874View attachment 1018875
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee wengine tunachemsha chai wew unapika chai .. inaonekana itakua tamu balaa hapo naasume nina sambusa zangu za nyama kama sita hivi pembeni