ANKO JEI
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,302
- 2,462
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hii ngoma wacha kabisa unaweza ona kingi ila mkipiga kolabo mnashtukia mmefika sakafuni mwa chombo
Braza THOMASS SANKARA ananichokoza sana. Halafu jina lake la kwanza linafanana na la Kaka yangu.
Anha kumbe mie kaka ako sasa kuingia anga za kaka zako nani kakufunza??Braza THOMASS SANKARA ananichokoza sana. Halafu jina lake la kwanza linafanana na la Kaka yangu.
Mama Mkwe Mimi nina ushahidi kuna binti anatia mkono kwenye msosi wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Braza THOMASS SANKARA ananichokoza sana. Halafu jina lake la kwanza linafanana na la Kaka yangu.
Mama Mkwe Mimi nina ushahidi kuna binti anatia mkono kwenye msosi wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Anha kumbe mie kaka ako sasa kuingia anga za kaka zako nani kakufunza??
We mtu wa huko nanjilinji huwezi pewa mke huku kwa wastaarabu visiwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23],anatuonesha chakula yake ya usikuPicha ya mwisho nahisi haikupaswa kuwa hapa..so unaweza kuifuta mkuu
United Fan
Nukta tumekuona aisee unakula mayai sana utakua bonge zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiku na Asubuhi View attachment 1019019View attachment 1019024
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Si nilikuambia nipikie niijaribu chai muruwa kabisa..Ni tamu balaa ila kuna mtu kasema anaiogopa kwa ulimi Na koo 🤣🤣🤣🤣.
Ila mkwe wangu THOMASS SANKARA anaijua habar yake hii chai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sichomoki ahsante, msosi mtamu mtamu
Mkuu unaona wivu nakula vitu vya maana!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Si nilikuambia nipikie niijaribu chai muruwa kabisa..