Uzi wa vyakula tu

Braza THOMASS SANKARA ananichokoza sana. Halafu jina lake la kwanza linafanana na la Kaka yangu.

Mama Mkwe Mimi nina ushahidi kuna binti anatia mkono kwenye msosi wake

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahaha hakikisha isijekua ni yeye kaka thomass,kama ni yeye ntawapa mtu Na dada yako maana mna mabinti 2[emoji14].

Na kuhusu mapishi hilo nakuhakikishia amepiga mwenyewe labda tu recipe kapewa Na mchumba ake.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…