Hapana mkuu iyo ni stua tumbo ya asubuhi kwa sisi mabachelorUnaumwa? Kama ndio pole sana
Jr[emoji769]
Nashukuru mimi ni mzima wa AFYA.Huyu mkwe wangu THOMASS SANKARA ni pro haswa MaashaAllah.
Sijambo mdogo wangu Vipi wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaa sana tu,ila weye fundi haswaa huishiwi na cha kupika farkhina
Mbona nyama mbichi[emoji86][emoji86]Asubuhi mtori chapati nyama ya mbuzi [emoji39] View attachment 1026140View attachment 1026141
a tree is known by its fruit
πππ iyo nyama tuu na kinywaji
[emoji39][emoji39]ya nn hii
Msosi unangaa kama theluji..damn
Smoothie ya mtindi na tui la nazi na vannila kwa mbali[emoji39][emoji39]ya nn hii
Naomba [emoji58]