Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Mchana mwema..!
#Mweziwamapendo
IMG-2019-02-20.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Economic,hii kwa bachela inakubalika kabisa,cha muhimu uwe na mchele wako ndani,Nyanya fungu moja 500/- na mboga za majani siku hizi za kumwaga...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom