cadey
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 1,455
- 4,419
Uko vizuri itabidi tuanzishe #Fridgechallenge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko vizuri itabidi tuanzishe #Fridgechallenge.
Aaa mkwe farkhina huo utaalaam wa kuweka tangawizi ndio nlikuwa sijui ninayo hapa nimetengeneza ya kawaida
Aaa mkwe farkhina huo utaalaam wa kuweka tangawizi ndio nlikuwa sijui ninayo hapa nimetengeneza ya kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaaha[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1],ngoja yule mwingne wa bandia atajileta
Ahahahaaha[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1],ngoja yule mwingne wa bandia atajileta
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha kijijini kwetu Tanga
Mam faraa naja andaa viungo 😉Hahahahaha pole,Raha ya biriani ni salo lenyewe tena liwe Na viazi wingi sawa Na nyama [emoji1476].
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama Mkwe kesho naenda mwenyewe sokoni kukununulia viungo na mazagazaga ya jikoni. Na utaalam wa kuandaa samaki ndo mwenyewe. Yule anayejiita Mkwe sidhani kama anamjua samaki chuchunge

Chuchunge mtamu sana Mkwe kama jodari. Wana tabia ya kupenda kutoboa Mtumbwi.