Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha ila wewe jamaa.Wife cooker View attachment 1034615
[emoji30]Hmm! Jamani sasa nitake radhi watu wote nyie hapanaNakujua mlo wako nakula mimi vibinti vyangu 2 na nyau wetu[emoji23][emoji23].
Cc THOMASS SANKARA
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema nikikaa mimi jikoni namtia aibu ataonekana kama hajui kupika. Ndio maana anakataa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
"Na nyau wetu" usinisahau na mie mkwe wako toka hapa malindiNakujua mlo wako nakula mimi vibinti vyangu 2 na nyau wetu[emoji23][emoji23].
Cc THOMASS SANKARA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipaji kinakufa sheh wangu,Anasema nikikaa mimi jikoni namtia aibu ataonekana kama hajui kupika. Ndio maana anakataa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
Shekhe ujuzi hauzeeki...Nae ni fundi haswa lakini akiniona mi naingia jikoni anatetemeka [emoji16][emoji16][emoji16]Kipaji kinakufa sheh wangu,
Btw bila shaka nae aonekana fundi jikoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila una pungua[emoji1][emoji1][emoji1].Shekhe ujuzi hauzeeki...Nae ni fundi haswa lakini akiniona mi naingia jikoni anatetemeka [emoji16][emoji16][emoji16]
ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
Daah😩 napika mwenyewe ila hilo jina mimi ni dingi sio mtoto bana
Hongera sana aisee. Acha kulia we si unaitwa dingimtoto sasa inanipa uvivu kumalizia lote, huwa naona wengine wanakatisha wanakuita dingi mimi nimeamua nichukue la mtotoDaah[emoji30] napika mwenyewe ila hilo jina mimi ni dingi sio mtoto bana
Sawa! Miss KhantweHongera sana aisee. Acha kulia we si unaitwa dingimtoto sasa inanipa uvivu kumalizia lote, huwa naona wengine wanakatisha wanakuita dingi mimi nimeamua nichukue la mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app