Uzi wa vyakula tu

Aaaa!! sheh wangu labda bibie hajui we fundi atiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema nikikaa mimi jikoni namtia aibu ataonekana kama hajui kupika. Ndio maana anakataa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
Kipaji kinakufa sheh wangu,

Btw bila shaka nae aonekana fundi jikoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipaji kinakufa sheh wangu,

Btw bila shaka nae aonekana fundi jikoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Shekhe ujuzi hauzeeki...Nae ni fundi haswa lakini akiniona mi naingia jikoni anatetemeka [emoji16][emoji16][emoji16]

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
Ila una pungua[emoji1][emoji1][emoji1].

Kwahyo mambo yale ya zaman kujifunga msuli na kuingia jikoni hayapo tena sheh wangu?

Ama kweli time do flies so fast

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…