[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]huo uvivu ukupate basi kutamka KUNDUCHIHongera sana aisee. Acha kulia we si unaitwa dingimtoto sasa inanipa uvivu kumalizia lote, huwa naona wengine wanakatisha wanakuita dingi mimi nimeamua nichukue la mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu embu harakisha huu mzigo..Maandalizi ya lunch yanaendelea
Wali nazi
Maharage nazi
Nyama ya kukausha,hapo nasubiri viungo vishike vizuri kaeni mkao wa kula
Mkwe wangu farkhina usisahau kuja na ndiziView attachment 1036757View attachment 1036758View attachment 1036759
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya karibu mkuuMkuu embu harakisha huu mzigo..
Maandalizi ya lunch yanaendelea
Wali nazi
Maharage nazi
Nyama ya kukausha,hapo nasubiri viungo vishike vizuri kaeni mkao wa kula
Mkwe wangu farkhina usisahau kuja na ndiziView attachment 1036757View attachment 1036758View attachment 1036759
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya karibu mkuu
Mkwe wangu farkhina karbu sana mje wote hata kanyau chako usikawache.View attachment 1036878View attachment 1036879
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu la kukobolewa hilo daah.
Leo kwa Mara ya kwanza nimefanikiwa kupika mtori, nimefurahi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu la kukobolewa hilo daah.
Mkwe wali nazi [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] hukumwita ata mchumba ako aje amenye vitunguu:
Sent using Jamii Forums mobile app
Juice ajaaab[emoji108] hiii nimeweka na tangawizi kwa mbaaaaali kama ulivyonifunza mkwe
Ahahaahahah,mie na huruma na mchumba angu ye anipikia siku zote za week,jumapili ndio zamu yangu.
Yeye miguu juuu anangoja kiwekwe jamvini
Sent using Jamii Forums mobile app
Juice ajaaab[emoji108] hiii nimeweka na tangawizi kwa mbaaaaali kama ulivyonifunza mkwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili sio refu kwa nini nione uvivu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]huo uvivu ukupate basi kutamka KUNDUCHI
Sent using Jamii Forums mobile app