MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Mlenda
Duu the meat is spicy hadi naogopa yani.....
😂😂😂😂Kweli nimeamini mganga haagizi matembele.. Ni kuku tu na ndo tunaowaonaga wenye menu zako.. Nakuelewa Sana mzee baba, nikiwa mkubwa ntakua mganga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, aisee amekuchagulia nyama nzuri sana.
MRENDA uliochanganywa na MAJANI ya MABOGA.
Sio mpenzi wa KUKU.
MLO umeenda shule.
Ndugu yangu uko vizuri
Naona MAHARAGE na PILIPILI nzima ya kuchemkia ili kuleta ladha, na kunukia fulani kwa mbali.Maandalizi ya lunch yanaendelea
Wali nazi
Maharage nazi
Nyama ya kukausha,hapo nasubiri viungo vishike vizuri kaeni mkao wa kula
Mkwe wangu farkhina usisahau kuja na ndiziView attachment 1036757
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo najua TANGAWIZI, VITUNGUU THAUMU, NDIMU/LIMAO havikosi.Maandalizi ya lunch yanaendelea
Wali nazi
Maharage nazi
Nyama ya kukausha,hapo nasubiri viungo vishike vizuri kaeni mkao wa kula
Mkwe wangu farkhina usisahau kuja na ndiziView attachment 1036759
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaah, braza oa sasaaa.Sina hela mkuu vipi naweza kuja dowea.. Sema ndo nafika gero napika saizi
FUNDI mzuri weweHaya karibu mkuu
Mkwe wangu farkhina karbu sana mje wote hata kanyau chako usikawache.View attachment 1036878View attachment 1036879
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi.
Sikuwa nafahamu kama kuna KANDE ya kuchanganya na NYAMA!
Mambo ya Supu ya KUKU, LIMAO kwa pembeni, CHAPATI na Juisi ya EMBE.
Hahahahaha, bobi leo apambane na hali yake.Noma sana.. Ile mzee baba mpaka brake hamuachii hata mbwa wakata brake [emoji23] [emoji23]
Mkurugenzi taratibu😀😀😀.
Flashback![emoji848][emoji848][emoji848][emoji115] [emoji115] Chai yangu mwanaume wa Dar, Samaki roast, some slices and ka [emoji193] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]