Rylee
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 542
- 1,015
Kwenye ukwaju tangawizi inatiwa wakati gani?? Kabla au baada ya kuchemsha
Juice ajaaab[emoji108] hiii nimeweka na tangawizi kwa mbaaaaali kama ulivyonifunza mkwe
Sent using Jamii Forums mobile app