Juice ajaaab[emoji108] hiii nimeweka na tangawizi kwa mbaaaaali kama ulivyonifunza mkwe
Sent using Jamii Forums mobile app
UKIWA ALWATANI SEHEMU WANAKUENZI MTEJA USIKIMBIE 🙂🙂🙂🙂Hahaha, aisee amekuchagulia nyama nzuri sana.
Mkuu hii kitu ina "pacha" wake lazima waende sawaMkurugenzi taratibu😀😀😀.
Naona na CHUPA ya kushushia kwa pembeni
Mimi natia baada ya kuchemshaKwenye ukwaju tangawizi inatiwa wakati gani?? Kabla au baada ya kuchemsha
Mimi natia baada ya kuchemsha
Ila mkwe wangu farkhina yeye ndio fundi zaidi atatusaidie kuwa yeye anawekaga saa ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natia baada ya kuchemsha
Ila mkwe wangu farkhina yeye ndio fundi zaidi atatusaidie kuwa yeye anawekaga saa ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes my dearMambo ya Supu ya KUKU, LIMAO kwa pembeni, CHAPATI na Juisi ya EMBE.
Si haba
Asante kwa jibu lako
NDIZI ya kuchoma, MISHIKAKI, kwa KACHUMBARI.
Ndiyo my favoriteUmejua ninini hicho! Mashed potatoes and fish [emoji311] fillets in garlic [emoji39][emoji39][emoji39]
Jr[emoji769]
Ya shurubati hayo
Jr[emoji769]