Nlikuwa nimelala nimeamshwa na mahanjumat yako.
Nlikuwa nimelala nimeamshwa na mahanjumat yako.
Hapa usngzi ushanipaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, ngoja tu nimezee na maji nlaleView attachment 1043505
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yangu haya. Nikikutana nayo lazima tumbo liongee
Ilikuwa Salamu tu ile.Nifundishe mwaya
PILAU, na KACHUMBARI yakeView attachment 1041493karibuni sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Mungu nisaidie maisha yangu yaje kuwa kama ya wenzangu hawa wanaopost vyakula ambavyo Mimi kula kwa sasa ni ndoto za mchana!,
Naamini ipo siku kwangu pia itawezekana kwa sasa wacha nipambane na ugali maharage tu,
Ningependa niwapostie lakini hata simu tu ya kupigia picha ambazo zinaeleweka sina.
ONE DAY Yes
View attachment 1043505
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
IPO siku
🤣🤣🤣🤣🤣Unanukia