Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Nlikuwa nimelala nimeamshwa na mahanjumat yako.

Hapa usngzi ushanipaa

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_2457.JPG


[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu nisaidie maisha yangu yaje kuwa kama ya wenzangu hawa wanaopost vyakula ambavyo Mimi kula kwa sasa ni ndoto za mchana!,
Naamini ipo siku kwangu pia itawezekana kwa sasa wacha nipambane na ugali maharage tu,
Ningependa niwapostie lakini hata simu tu ya kupigia picha ambazo zinaeleweka sina.
ONE DAY Yes
[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20190314_121826.jpeg


Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom