Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka nasikia shem sasa hivi anafanya mambo ya maakuli hatari sana. Hongera sana
Umetengeneza na maziwa fresh au mtindi?
Umetengeneza na maziwa fresh au mtindi?
Jamani ebu kwa majina mengine hyo habatus ndo nnMkwe [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] uliweka Na habattus sauda (black seed) kuongeza manjonjo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wali maharage nyama View attachment 1067620
Mkwe sikuweka ila next time in sha allah ntatia farkhinaMkwe [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] uliweka Na habattus sauda (black seed) kuongeza manjonjo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana bintie farkhina huyo sio wa mchezo.Kaka nasikia shem sasa hivi anafanya mambo ya maakuli hatari sana. Hongera sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatengenezwa na maziwa fresh.Umetengeneza na maziwa fresh au mtindi?
Habat sa'uda(habati soda) kwa kimombo waita black seed hii ni dawa ya maradhi mengiiiiii inayotokana na mbegu nyeusi za mti wa sa'uda una patikana na kumea sana mashariki ya kati.Jamani ebu kwa majina mengine hyo habatus ndo nn
Shukrani kwa maelezo mazuri[emoji120]Habat sa'uda(habati soda) kwa kimombo waita black seed hii ni dawa ya maradhi mengiiiiii inayotokana na mbegu nyeusi za mti wa sa'uda una patikana na kumea sana mashariki ya kati.
Inapatikana ikiwa ni mafuta au mbegu zake ni nzuri sana kwa maradhi mengi.
Inapatikana zaidi maduka ya dawa za kisuna(maduka ya dawa za kiarabu)
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39][emoji39]naomba mwaliko weekend hii
Ukirudi una kg 150[emoji39][emoji39]naomba mwaliko weekend hii
[emoji23][emoji23][emoji23]alafu niko kwenye diet etiiUkirudi una kg 150
[emoji39][emoji39]naomba mwaliko weekend hii