Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo mke sasa [emoji2][emoji2]Yaani wewe unakula ubwabwa umenona hivi halafu unasema ubachela shida, wenzio wana wake hawawezi kupika hivyo
Tatizo mke sasa [emoji2][emoji2]
Wa kuja kuwa mfanyakazi wa ndani wa kujitolea [emoji16][emoji16][emoji16]Mpango gani? Naomba nikumbushe
Mabinti wote hawa unashindwa nini kujibebea,mmoja
Umeona kilichotokea kwa Gwajima ndo nimechoka kabisa
Sio uoga inabid ujihami hasa kama mimi,bint unadhani mcha Mungu kumbe looh![emoji17][emoji23][emoji23] acha uoga kijana
Sio uoga inabid ujihami hasa kama mimi,bint unadhani mcha Mungu kumbe looh![emoji17]
Ni kweli tahadhari muhimu. Tuletee msosi basi
Unakula Colgate pamoja na dettol?
Hii ilikua special order [emoji2][emoji2]Dah...... Nitaipataje hii
😅😅 kwangu utapaweza kweli naishi UK (Uru Kishumundu)Wa kuja kuwa mfanyakazi wa ndani wa kujitolea [emoji16][emoji16][emoji16]
Umenitisha uliponiambia UK, ila sio sana maana mi mwenyewe nipo UK (Ukonga)[emoji28][emoji28] kwangu utapaweza kweli naishi UK (Uru Kishumundu)
🤣🤣🤣Umenitisha uliponiambia UK, ila sio sana maana mi mwenyewe nipo UK (Ukonga)
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]