donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Nafkiri, yes hata kama mimi ni msukuma ila sio kiivoHahaha..ulitaka asubuhi hii ale ugali wa udaga sio??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafkiri, yes hata kama mimi ni msukuma ila sio kiivoHahaha..ulitaka asubuhi hii ale ugali wa udaga sio??
Dah![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]
Yummy yummyView attachment 1103860
Napenda sana mihogo sisi wanyamwez hapo unakuwa na karanga za kukaanga unakula na mihogo na chaiLeo napata muhogoooooView attachment 1103864
Napenda sana mihogo sisi wanyamwez hapo unakuwa na karanga za kukaanga unakula na mihogo na chai
HaswaaaChai imekolea tangawizii
Haswaaa
limepunjwa nyanya hiloo
Nimeitaman hiyooKitu kimeivaaaView attachment 1103868
Lala kwa raha zako... Kiroho ile mechi tumeshindaNakula kwa tabu sana nilijua leo simba nalala kwa raha ila sevilla imenifanya nitulie kbsView attachment 1105994
[emoji23][emoji23]namalizia kula ugari wangu hapa nilaleLala kwa raha zako... Kiroho ile mechi tumeshinda