Mkuu hapo ni mwendo wa maji tu.Huu mzigo wenyewe huu,
Video ya Gwaj ilikufanya ukaharibu funga nini?Bado tumefunga usipost mavyakula please!
Wapi hii kitu braza mshana?
Hapa sio Zaire pale kibaha mnadani?
Daah bwana wee,nmekumbuka namna yao ya ufungaji wa nyama kwenye foili!! Aysee itabidi next Saturday Mungu akijaalia nikija hapo nikutafute kaka tule minyamaDah... Umepata... Hapa ni machinjioni kibaha mnadani.... Tuko wa JF kama wa5 hivi
PamojaaaaYes karibu tukutane aisee
Duh....ndo nn hz
Wa5? Mbona mi sijawaona [emoji41][emoji41]Dah... Umepata... Hapa ni machinjioni kibaha mnadani.... Tuko wa JF kama wa5 hivi
Jirani nakusalimuAfter churchView attachment 1122343
Salama jirani za sikuJirani nakusalimu