Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

.
IMG_20190606_165535_174.JPG
 
Dah... Umepata... Hapa ni machinjioni kibaha mnadani.... Tuko wa JF kama wa5 hivi
Daah bwana wee,nmekumbuka namna yao ya ufungaji wa nyama kwenye foili!! Aysee itabidi next Saturday Mungu akijaalia nikija hapo nikutafute kaka tule minyama
 
Back
Top Bottom