Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Njoo sasa tuleeee msos unaivaaa
Yaani wewe ungekuwa ndugu yangu ningekutoa zawadi
IMG_20190622_201755.jpeg
IMG_20190622_201805.jpeg
 
Mm siruhusiw kula nyama yeyote zaid ya samaki huwa naugua kabisaa sijui wanaitaje ule ugonjwa hivyo natumia mbg hizoo Mara nyingi nageuza zinakuwa nyamaa
Asante [emoji23][emoji23][emoji23] ila nina aleji na wali na hicho kitowewo. Mi ndio nimemaliza hapa niekaa sakafuni ule mkao wa kulia biriani.

Hongera naona unayaweza[emoji23][emoji23]View attachment 1134850
 
Back
Top Bottom