Uzi wa vyakula tu

Mm siruhusiw kula nyama yeyote zaid ya samaki huwa naugua kabisaa sijui wanaitaje ule ugonjwa hivyo natumia mbg hizoo Mara nyingi nageuza zinakuwa nyamaa
Asante [emoji23][emoji23][emoji23] ila nina aleji na wali na hicho kitowewo. Mi ndio nimemaliza hapa niekaa sakafuni ule mkao wa kulia biriani.

Hongera naona unayaweza[emoji23][emoji23]View attachment 1134850
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…