Uzi wa vyakula tu

Hii haihusiana na wanaume wa dar wala mikoani myplusbee kuna ambao hata wa mikoani hawapendi. Mimi hapo napenda sana.
Khaa!! Ina maana hujui kwamba suala la misosi linahusishwa sana na mtanange wa wanaume wa dar vs wanaume wa mikoani huku wale wa mikoani kushindilia miugali na miharage wakidhani ndo kuwa na miguvu!! Sa' nikiishi nyumba moja na wewe, itabidi tugawane majiko kwa kweli!!
 
Wanashindilia ugali wa maharage kwa sababu ndiyo chakula kinachopatikana.
Kijijini vyakula ni mahindi, maharage maziwa.
Kuna sehemu hata mboga za majani hazioti.
Hivyo inawalazimu kuwa ugali wa maharage, makande au ugali wa maziwa ndiyo maana.

Hahahahah wala usigawane jiko na mimi maana sipiki kila siku.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa kidogo nitakusindiza, na kama unaenda Morogoro, basi nikusindikiza angalau hadi Chalinze!! Common denominator hapo ni ugali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…