Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

[emoji12][emoji12][emoji12]
tee_foodstuffs_supply_B0z9xeyHzyv.jpeg
 
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 566179View attachment 566180

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kuna vyakula siwezi kula hata niambiwe vina nini mwilini kama mende khaaaa labda ningezoweshwa toka mdogo il akwa umri huu siwezi tena maana nikiwaza kule chooni mweeeh
 
Yaani kuna vyakula siwezi kula hata niambiwe vina nini mwilini kama mende khaaaa labda ningezoweshwa toka mdogo il akwa umri huu siwezi tena maana nikiwaza kule chooni mweeeh
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom