Uzi wa vyakula tu

Ila nadhan pia watu wangekua wanatoa namna ya mapishi ingependeza sana kuliko kuweka picha peke yake. Tungepata maujanja ya kupika badala ya kwenda kula migahawani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…