Yani mpaka majiran watashangaa[emoji23]
Huyu ni mbuzi ama mdudu.
Wee Mama punguza kula!
View attachment 1196590 mapambano yanaendelea
Nilikuwa nafikiria kitu hicho hicho.Mbona unatumia mwiko wa chuma kwenye nonstick pan ?
Huwa sipendi kolabo ya samaki na nyama
Halafu ni kweli ujue..unakuta mtu anapiga wali,nyama,maharage na samaki juu..😂Watu wengi wanakula mboga sawa mf nyama Maharagwe samaki zote protein
Halafu ni kweli ujue..unakuta mtu anapiga wali,nyama,maharage na samaki juu..[emoji23]
Moja ya mboga za majani nizipendazo ni mchicha, majani ya kunde.View attachment 1196590 mapambano yanaendelea
Utapata kitambi wewe mrembo..Karibuni tuporokeView attachment 1197304