Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Where have you been??
Where have you been??
[emoji23][emoji23][emoji23]mlo wa kibabeView attachment 1194492
Yani we kweli ndo hopels kabisamlo wa kibabeView attachment 1194492
Rozi hutu tuandaz kote ulimaliza mwenyewe
Hizi sasa ndio picha halisi za misosi yako maana haziendan kabisa na zile unazodownload.
Umenisababisha nimemeza mate, dah! poa bwana
mlo wa kibabeView attachment 1194492
mbona ni simple sana mkuuHivi ukitaka kupika yai liwe kama mboga unapikaje, mimi nataka tuwe tuna toa na namna ya kupika,
sawaYani we kweli ndo hopels kabisa
Halafu huo ugali kwa macho unaonekana m'bichi haujaiva
hopels = hopelessYani we kweli ndo hopels kabisa
Halafu huo ugali kwa macho unaonekana m'bichi haujaiva
Don't worry, it's none of your concernHizi sasa ndio picha halisi za misosi yako maana haziendan kabisa na zile unazodownload.
Hii inaonesha real view kabisa,hapa ilikuwa wapi,buza au?
Sawa mama,usinune laknDon't worry, it's none of your concern
Yani mpaka majiran watashangaa[emoji23]Huu uchawi ni ruksa kuutumia kunirogea mamii... Tufanye kitu..