Nimeitamani sana hiyo juisi[emoji39]
bufee
Shiba kwa imani! [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana yake nini[emoji115]
[emoji15][emoji15]Cadey njoo ufafanue huku , mi nakulaga tu Mkuu [emoji23]
[emoji15][emoji15]
Ahsante sana mkuu, sikuwahi kulisikia hilo neno. Nimelisikia juzi ndio nikaja hapa kutafuta maana yake.Bufee au kwa usahihi ni Buffet food/Buffet table ni Mfumo mzima ambao huandaliwa ili watu waweze kujisevia chakula [emoji116]
View attachment 1224726
Hiki ndo chakula bana, harage la maziwa na nazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji44][emoji44][emoji44]
[emoji39][emoji111]View attachment 1217456View attachment 1217457
Ina maana huwa haudhurii ata harusi jamaniCadey njoo ufafanue huku , mi nakulaga tu Mkuu [emoji23]
👌🏾Hiki ndo chakula bana, harage la maziwa na nazi.
Je una coffeemaker ?Mkuu kwema Asee napenda sana kujua kutengeneza Cuppuchino na other coffee material unaweza toa msaada
Habari yako man!Mkuu kwema Asee napenda sana kujua kutengeneza Cuppuchino na other coffee material unaweza toa msaada
Beef Mandi.
MAJI CHUMVI ndio UGONJWA wangu huu
Hiki ndo chakula bana, harage la maziwa na nazi.