[emoji1476][emoji1476][emoji1476][emoji1476]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi nipo mdogo home kwa wazee, siku ukipikwa wali maharage tulikuwa tukiita Manchester United na Liverpool siku hiyo unaambiwa huwa sichezi mbali [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji39][emoji39][emoji39]Wali kwa maharage na kachumbari ya papa mkavu [emoji91] .
naachama tuu aisee
kakupikia nan mkuuMdogo mdogo View attachment 1228902
Kuna watu wanafaidiMdogo mdogo View attachment 1228902
Mkuu hii menu inapatikana kiwanja kipi?
Je una coffeemaker ?
Habari yako man!
Mzee hizo kuna shemeji yako ni barista ndo anatengenezaga. Kukupa contacts itakua ngumu mnooo [emoji23][emoji41]. Mimi mtumiaji tu, waweza cheki tutorials youtube si ngumu hata.View attachment 1225382
[emoji23] si unajua mjini hapa "abiria chunga mzigo wako". Hata hivyo sasa hivi yupo mbali kidogo.Mkuu [emoji23][emoji23] umenichekesha sana kwamba Contact hapana, sisi wengine hatuna mambo ya kijinga tunafata yaliyo tupeleka na kama ni darasa anafundisha analipwa anaheshimiwa kama mwalimu tukimaliza kila mtu anachukua njia yake