Uzi wa vyakula tu

Zamani nikwa mdogo nikisikia naitwa kwa nguvu, then nikiitika naambiwa 'shauri zako' Nilikuwa siagi, fasta home
najua kime eleweka tayari.

uView attachment 1225292
Umenikumbusha mbali sana, zamani nna njaa maza kamaliza kupika anasema hamna kula mpaka mdogo wetu wa mwisho awepo.
Basi hapo mi siongei naenda kumtafuta nnapomkuta anakula mijeledi Njia nzima huku tunakimbizana .ukute alikua anacheza rede🤣.
Tunafika hm tunahema kwa mbio ila hamna anayesema kitu maji ya kunawa yako wapi,tunapiga kitonge then kila mtu anashika hamsini zake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 1225412

Na MCHELE nao umetulia, umenyooka.

Ghafla nimeutamani huu WALI na MAHARAGE
Kipindi nipo mdogo home kwa wazee, siku ukipikwa wali maharage tulikuwa tukiita Manchester United na Liverpool siku hiyo unaambiwa huwa sichezi mbali [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…