Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mambo ya mkwe wangu farkhinaHii kitu uipate kwa supu ya kuku wa kienyeji mida ya asubuhi kama hivi![emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1340561
Na mimi naisubiria hiyo recipe lkn mpaka ajibu inahitaji uvumilivu SIERA
Na mimi naisubiria hiyo recipe lkn mpaka ajibu inahitaji uvumilivu SIERA
vipapatio
Waturuki hao
Ila ni Middle Eastern food zaidi
Sent from my iPhone using Tapatalk
vipapatio
Unaweka chumvi na saumu
Unaacha kama masaa na 4
Then unachukua unga wa ngano unaweka pilipili mtama, paprika, pilipili ya unga unavichanganya unachovya hizo vipapatio vyako unapanga kwenye tray unaweka kwenye oven vikishaiva unatoa..
Sauce yake :
Unachukua
Sukari kidogo tu kama nusu kijiko cha chai depends na wewe
Vinegar nusu kikombe
Soya sauce nusu kikombe
Cornflower kijiko cha chai
Unachanganya unabandika jiko vikishachemka weka vipapatio vyako changanya then rudisha kwa oven kama dk 5 hivi oven iwe na moto bs tayari kwa kuliwa.. unaweka na rangi kama utapenda mie nimeweka red color kidogo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kwenye restaurant za hapa bongo, kama ni hapa em nielekeze na mie nikajipatie msosi kama huo maana Napenda kujaribu vitu vipya
Sent using Jamii Forums mobile app
πππView attachment 1343380 grill garlic wings mkono wangu[emoji7]
Sent from my iPhone using JamiiForums