Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu najifunza mapishi mapya toka kwako hivyo usinichokevipapatio
Unaweka chumvi na saumu
Unaacha kama masaa na 4
Then unachukua unga wa ngano unaweka pilipili mtama, paprika, pilipili ya unga unavichanganya unachovya hizo vipapatio vyako unapanga kwenye tray unaweka kwenye oven vikishaiva unatoa..
Sauce yake :
Unachukua
Sukari kidogo tu kama nusu kijiko cha chai depends na wewe
Vinegar nusu kikombe
Soya sauce nusu kikombe
Cornflower kijiko cha chai
Unachanganya unabandika jiko vikishachemka weka vipapatio vyako changanya then rudisha kwa oven kama dk 5 hivi oven iwe na moto bs tayari kwa kuliwa.. unaweka na rangi kama utapenda mie nimeweka red color kidogo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na spices zake hadi ukitoka jasho unanukia uwatu (fenugreek)
Naam.Leo napika chapati.
Zikiiva kaeni mkao wa kula.
Mtaalam wa hizi kazi nishafika.
Cc @kirangaView attachment 1344051
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bia moja siyo mbaya![emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1343709
Naam.
Just had fish and chips with salad over here.
View attachment 1344055
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari, labda ndiyo maana wanaita Fish and Chips na si Chips and Fish.Poor me.
I had been lookinflg for the chips all over mweee kumbe ziko vipande chache sana salad na samaki ndo nyingi safi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmm!! hapa kitambi ni lazima![emoji23][emoji23][emoji23]Kitu ya nundu.
Haya ni matayarisho jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1344102
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu ya nundu.
Haya ni matayarisho jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1344102
Sent using Jamii Forums mobile app
Ole wenu mtuletee vibichiNaingia jikoni kuandaa kitu![emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1344182
Wanunua wapi wings zote hizoView attachment 1343380 grill garlic wings mkono wangu[emoji7]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu msosi kama huo ni dola ngapi??Naam.
Just had fish and chips with salad over here.
View attachment 1344055
Sent using Jamii Forums mobile app
About $21.Mkuu msosi kama huo ni dola ngapi??
Mmmm!! hapa kitambi ni lazima![emoji23][emoji23][emoji23]