Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji39][emoji39]Keki nimejaribu kupikia kwenye jiko la mkaa.
Imeungua lakini imechambuka.
Na tamu sana aiseee wakati ujao haitoungua tena maana nishajifunza moto unatakiwaje.
@mishilView attachment 1347508View attachment 1347509
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo lakini fresh, not cannedUnapenda asparagus?
View attachment 1347723 kitu cha oven perfect...
Mkaa aiseeh sikumbuki mara ya mwisho lini nilitumia kupikia cake I think 20 years ago wakati niko home sijaolewa[emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unaweza dhani tgo kwa haraka haraka.View attachment 1347723 kitu cha oven perfect...
Mkaa aiseeh sikumbuki mara ya mwisho lini nilitumia kupikia cake I think 20 years ago wakati niko home sijaolewa[emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi SIERA kumbe wewe ni mdada?! Maajabu haya [emoji44] leo ndio nimejua.View attachment 1347723 kitu cha oven perfect...
Mkaa aiseeh sikumbuki mara ya mwisho lini nilitumia kupikia cake I think 20 years ago wakati niko home sijaolewa[emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji848][emoji848][emoji848] huendi popote, mtaalam nipo hapa.
Ngoja nimwite THOMAS SANKARA. Alitaka aoe binti wa farkhina akagonga mwambaKatafuta wapi?
Sijaiona hiyo fursa[emoji5]️
Kumbe alishapata mchumbaNgoja nimwite THOMAS SANKARA. Alitaka aoe binti wa farkhina akagonga mwamba