THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Ahahahaahahah ndugu yangu platozoom mbona kama wanichongea kwa mkwe wangu farkhina?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema suuuuuu...!! [emoji23]Katafuta wapi?
Sijaiona hiyo fursa[emoji3526]
Ahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] huna habari kumbeNgoja nimwite THOMAS SANKARA. Alitaka aoe binti wa farkhina akagonga mwamba
Ebu mwambie platozoomWeee uyo mkwe wangu mie,hapa soon analeta mahari.
Huyo muongo mkwe, hamna cha dagaa wala pilipili boga.Ugomvi wa nini kila mtu atapata wake,wameongezeka.
Weee ulisema unaleta dagaa Zanzibar hawakufika au sio THOMASS SANKARA?
Huyo muongo mkwe, hamna cha dagaa wala pilipili boga.
Huyo aoe huko huko bara, kwanza muoga wa maji ataja tapika bure ndani ya azam marine
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo muongo mkwe, hamna cha dagaa wala pilipili boga.
Huyo aoe huko huko bara, kwanza muoga wa maji ataja tapika bure ndani ya azam marine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahh sanaaaTamu sana hii kitu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sawa DoktaAhahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] huna habari kumbe
Mkwe farkhina ebu njoo nitetee tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza eeenh[emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1349035
Mapema kabisa mkuu![emoji18][emoji18][emoji18]Umeanza eeenh
Chief mbona unapika yai tupu?[emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1349035
Ni wivu tu![emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1349035
Leo tuna hamu ya mayai hapa gheto!Chief mbona unapika yai tupu?
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ