Uzi wa vyakula tu

Matatizo hayo ninayo hapa,dogo teen ye ni mpunga tu na viepe kuku daily.
Siku niko off nikiangusha ugali kambare basi bora ale pasta na tomatososi.
Madai yake kala sana ugali kwa ndima boarding.
Namwangalia nasema nhii,nikikumbuka miaka yetu wadogo 80s chumvi inakorogwa na maji mnakula na ugali mhh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…