Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Hiyo mboga kiporo cha jana namalizia leo na ugali. Ugali nitasonga baadae nao niuweke? Ila nyumba yangu hawapendi ugali wanasusa hawali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] najikuta nakula mwenyewe.
Lakini namuambiaga dogo ukiwa na kwako utachagua msosi hapa unakula ninachotaka mie.


Sent using Jamii Forums mobile app
Matatizo hayo ninayo hapa,dogo teen ye ni mpunga tu na viepe kuku daily.
Siku niko off nikiangusha ugali kambare basi bora ale pasta na tomatososi.
Madai yake kala sana ugali kwa ndima boarding.
Namwangalia nasema nhii,nikikumbuka miaka yetu wadogo 80s chumvi inakorogwa na maji mnakula na ugali mhh.
 
20200131_100410.jpg

Breakfast
Supu ya kunde,and thick bacon
 
Back
Top Bottom