Umetengenezaje hiyo chanteView attachment 1347109View attachment 1347110 kachori na chatne good morning
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyu kuku ni chotara auMaandalizi ya dinner yameanza![emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1346467View attachment 1346468View attachment 1346470
Kienyeji pure! Umeuliza hivyo kwa sababu ya hayo mafuta?
kajojo na Behaviourist
Yes maana nilishawahi kununua wale kuku wakubwa kweli wanafanana na wa kienyeji, kumuuliza muuzaji akasema ni chotara, maana hata miguu yako huwa ni meupe tofauti na wa kienyejiKienyeji pure! Umeuliza hivyo kwa sababu ya hayo mafuta?
Asante sana Ubarikiwe, nikitengeneza ntaleta mrejeshokajojo na Behaviourist
guacamole ni nzuri sana kwa kweli
Nadhani ina asili ya Mexico
inatengenezwa rahisi tu
Uwe na;
Parachichi moja fresh zuri lenye afya liwe
Na mahitaji ya kachumbari ya kawaida yani nyanya,kitunguu,hoho na lemon/ndimu kidogo ama vinegar
Steps
Kata kachumbari yako ila kwa style ya vibox vidogo dogo...nyanya fanya kutolea zile mbegu na mchuzi wake,kata kitunguu na hoho pia
weka chumvi na limao as desired then weka pembeni
andaa parachichi kwenye bakuli ingine afu liponde hadi lilainike
weka ile kachumbari yako mix zaidi....thereee u have guacamole
onja ladha kama iko vizuri baaaass....
inapendeza iandaliwe na kuliwa ndani ya muda mfupi mana parachichi ni kama ndizi lina sifa ya kubadilika kuanza kuwa brown ama nyeusi hivyo kuharibu 'appearance' ya salad yako, japo ladha inakua nzuri tu
ama ifunge na 'cling wrap nylon' hewa ibaki fresh
napenda sana salads
ntaonyesha siku nikitengeneza 'pasta salad'
Sasa ile popo yenye Corona virus ndo msosi gani huoMwanaume wa Dar!! Sasa msosi gani huo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa ile popo yenye Corona virus ndo msosi gani huo
[emoji18][emoji18]Asubuhi ya kuwa busy jikoni![emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1349144
Unatustress ujue😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1349490
[emoji18][emoji18]Nilie na ugali au wali?[emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1352375
[emoji23][emoji23][emoji23] Una vituko mkuu!
Hii umeipata website gani?[emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1371273
hicho kitu cha rangi ya njano ni embe bichi?Na nguna kubwa.....Yaaani kula kumaliza.......!View attachment 1369431
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wivu tuu!Hii umeipata website gani?