Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Hii inatengenezwaje

Nimeipenda

Sent using Jamii Forums mobile app
kajojo na Behaviourist

guacamole ni nzuri sana kwa kweli
Nadhani ina asili ya Mexico

inatengenezwa rahisi tu
Uwe na;
Parachichi moja fresh zuri lenye afya liwe
Na mahitaji ya kachumbari ya kawaida yani nyanya,kitunguu,hoho na lemon/ndimu kidogo ama vinegar

Steps
Kata kachumbari yako ila kwa style ya vibox vidogo dogo...nyanya fanya kutolea zile mbegu na mchuzi wake,kata kitunguu na hoho pia

weka chumvi na limao as desired then weka pembeni

andaa parachichi kwenye bakuli ingine afu liponde hadi lilainike

weka ile kachumbari yako mix zaidi....thereee u have guacamole

onja ladha kama iko vizuri baaaass....

inapendeza iandaliwe na kuliwa ndani ya muda mfupi mana parachichi ni kama ndizi lina sifa ya kubadilika kuanza kuwa brown ama nyeusi hivyo kuharibu 'appearance' ya salad yako, japo ladha inakua nzuri tu

ama ifunge na 'cling wrap nylon' hewa ibaki fresh

napenda sana salads

ntaonyesha siku nikitengeneza 'pasta salad'
 
Asante sana Ubarikiwe, nikitengeneza ntaleta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafiki LadyRed karibu tupunguze uzito![emoji847][emoji847][emoji847]
21346678-1.jpeg
 
Back
Top Bottom