Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Huwa wananiambia hivi kwenye ndizi, kila anayeniambia hivi namwambia hem pika nione....nakuta yaleyale tu. Lazima tukubaliane tu kuwa binadamu tuna vitu tunavyopenda na tusivyopenda
Kuna watu wazima nliwasikia wasema usiseme hupendi chakula fulani hujapata tu mpishi hasa wa hilo pishi.

Itakua hujapenda tu hayo mapishi na si biriani yenyewe.

Hupendi chakula hupendi mapishi?


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana hapa hakuna ubaguzi.. Chochote kiitwacho chakula kinawekwa bila shaka
Sio mbaya tukiposti au kujikumbusha na vyakula vyetu vya kiasili. Maana sisi wengine ni gharama kwetu tena tukiona hivyo vya kizungu hivyo mkiweka pia na vya kwetu tunapata moyo [emoji5][emoji5][emoji5]

Jr[emoji769]
 
Hapana hapa hakuna ubaguzi.. Chochote kiitwacho chakula kinawekwa bila shaka

Jr[emoji769]
Daah ni kweli mkuu maana nikaanza kuogopa dah wenzetu wanafaidii nini. Sema nikaitolea kama utani tu maana najua mwisho wa siku lazima mtu akumbuke kwao...Hata Mimi nisiwafiche huwa nikizipata mahali Mara kadhaa lazima huwa lazima nikashushe msosi wa maana 👏
 
[emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
Daah ni kweli mkuu maana nikaanza kuogopa dah wenzetu wanafaidii nini. Sema nikaitolea kama utani tu maana najua mwisho wa siku lazima mtu akumbuke kwao...Hata Mimi nisiwafiche huwa nikizipata mahali Mara kadhaa lazima huwa lazima nikashushe msosi wa maana [emoji122]

Jr[emoji769]
 
Hapana hapa hakuna ubaguzi.. Chochote kiitwacho chakula kinawekwa bila shaka

Jr[emoji769]
uko sawa mkuu. Watu tunajipostia chochote humu mfano mm mara chache nagusa jukwaa hili kwa vitu vya asili mfano siku moja nilileta mlenda humu😁😁😁 hata hivyo wengine hawaujui ila hio ni kitu cha asili 100%. Ajisikie huru tu.
 
Cheafayaaaa
IMG_20200313_185303.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom