Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Karibuni Nyooooooote
Mkwe farkhina pita mbele kuna reserved siti yako huku. View attachment 1367099
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wazima nliwasikia wasema usiseme hupendi chakula fulani hujapata tu mpishi hasa wa hilo pishi.
Itakua hujapenda tu hayo mapishi na si biriani yenyewe.
Hupendi chakula hupendi mapishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti ndugu yangu wamebase kwenye vya kizungu tuu!!!
Ndio wanaona fashion, siku wakipika kama hivi hawawekiEti ndugu yangu wamebase kwenye vya kizungu tuu!!!
Sina maana mbaya ile Eti fikiria mwenyewe kila siku mwanaume labda anaposti hivyo anavyodai "anakula" na hakuna hata siku moja muhogo was kuchemsha ama viazi, mchicha ategemee nini...
Sio mbaya tukiposti au kujikumbusha na vyakula vyetu vya kiasili. Maana sisi wengine ni gharama kwetu tena tukiona hivyo vya kizungu hivyo mkiweka pia na vya kwetu tunapata moyo [emoji5][emoji5][emoji5]
Daah ni kweli mkuu maana nikaanza kuogopa dah wenzetu wanafaidii nini. Sema nikaitolea kama utani tu maana najua mwisho wa siku lazima mtu akumbuke kwao...Hata Mimi nisiwafiche huwa nikizipata mahali Mara kadhaa lazima huwa lazima nikashushe msosi wa maana 👏Hapana hapa hakuna ubaguzi.. Chochote kiitwacho chakula kinawekwa bila shaka
Jr[emoji769]
Huwa wananiambia hivi kwenye ndizi, kila anayeniambia hivi namwambia hem pika nione....nakuta yaleyale tu. Lazima tukubaliane tu kuwa binadamu tuna vitu tunavyopenda na tusivyopenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah ni kweli mkuu maana nikaanza kuogopa dah wenzetu wanafaidii nini. Sema nikaitolea kama utani tu maana najua mwisho wa siku lazima mtu akumbuke kwao...Hata Mimi nisiwafiche huwa nikizipata mahali Mara kadhaa lazima huwa lazima nikashushe msosi wa maana [emoji122]
uko sawa mkuu. Watu tunajipostia chochote humu mfano mm mara chache nagusa jukwaa hili kwa vitu vya asili mfano siku moja nilileta mlenda humu😁😁😁 hata hivyo wengine hawaujui ila hio ni kitu cha asili 100%. Ajisikie huru tu.Hapana hapa hakuna ubaguzi.. Chochote kiitwacho chakula kinawekwa bila shaka
Jr[emoji769]
NimekupataSina maana mbaya ile Eti fikiria mwenyewe kila siku mwanaume labda anaposti hivyo anavyodai "anakula" na hakuna hata siku moja muhogo was kuchemsha ama viazi, mchicha ategemee nini...
We jamaa salute aisee