Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Kapike mwenyewe
Wekeni vitu watu tule tulale

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1584380304973.jpeg


Jr[emoji769]
 
Hahahaha, eti pleti ndogo.
Wewe sikuwezi kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu taja basi hizo kilo ndogo tuone, ili ufanyiwe diet therapy.
Nipo Kwenye majaribio ya kula nyama na chipsi niongeze mwili[emoji23][emoji23][emoji23]

Kilo chache Sana aisee..sihitaji diet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom