Unajua kunitamanisha jamani na icho kipilipili Cha mwendo Kasi pembeni dah..
[emoji125][emoji125][emoji125]Unajua kunitamanisha jamani na icho kipilipili Cha mwendo Kasi pembeni dah..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana supu nzuri sana huyu!
Too much meat my friend.
Dogo una kilo ngapi ?
Umepanga vitu heavyweight.
HahahahaUmepanga vitu heavyweight.
Hili la kilo chache linanipa ukakasi.Hahahaha
Mbona vichache jamani [emoji23][emoji23]
Halafu nna kilo chache sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hiyo siku hata sikushiba[emoji23]Hili la kilo chache linanipa ukakasi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, eti pleti ndogo.Halafu hiyo siku hata sikushiba[emoji23]
Hiyo plate Ni ndogo ujue.
Kuhusu kilo Ni chache Hadi naogopa kuziweka hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo Kwenye majaribio ya kula nyama na chipsi niongeze mwili[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha, eti pleti ndogo.
Wewe sikuwezi kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu taja basi hizo kilo ndogo tuone, ili ufanyiwe diet therapy.
Dogo unataka mwili mkubwa ????Nipo Kwenye majaribio ya kula nyama na chipsi niongeze mwili[emoji23][emoji23][emoji23]
Kilo chache Sana aisee..sihitaji diet
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dogo unataka mwili mkubwa ????
Utajuta nakwambia hutakaa upende nyama tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]