kitu cha google hiko ndugu.Aisee watu mnajipenda hatari hapo ata usipo nawa mikono sijui na nn corona upati..
Mimi hapo mpaka nimalize kula makwapa yatakua yanauma kwa kuizungusha zungusha mikono[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umeua.Kiafya zaidi.
View attachment 1401809
Siyo haram hii?[emoji848][emoji848][emoji848]Kitimoto[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1401687
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mkali sana!Kiafya zaidi.
View attachment 1401809
Kutishana!
Umenikumbusha mbali sana, miaka ya 1990 wakati nakwenda shamba kumtembelea bibi alikuwa ananiandalia ugali wa muhogo kwa kuku [emoji39][emoji39][emoji39]
Hakuna kama Bibi!Umenikumbusha mbali sana, miaka ya 1990 wakati nakwenda shamba kumtembelea bibi alikuwa ananiandalia ugali wa muhogo kwa kuku [emoji39][emoji39][emoji39]
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Mzee wa chura huu msosi ndio wenyewe[emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1399907
God save us![emoji847][emoji847][emoji847]Mzee wa chura huu msosi ndio wenyewe
God save us
HaramuKitimoto[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1401687
Sent using Jamii Forums mobile app
Unashabikia haram?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Jr[emoji769]
View attachment 1404812
imagine unaenda hotel kubwa kwa wenzetu unakuta mihogo imepamba hivi na unalipwa kwa dollars kadhaa wakati huku inapatkana kila mtaa.
mno yaani naipenda mno muda wowote sichagui na kipilipili vlani hivi.Inavutia kuliwa
Jr[emoji769]
Hii mihogo ni 5 star by just looking on itView attachment 1404812
imagine unaenda hotel kubwa kwa wenzetu unakuta mihogo imepamba hivi na unalipwa kwa dollars kadhaa wakati huku inapatkana kila mtaa.